Kis 111: Introduction To Kiswahili Literature Question Paper
Kis 111: Introduction To Kiswahili Literature
Course:Bachelor Of Education (Arts)
Institution: Rongo University question papers
Exam Year:2018
RONGO UNIVERSITY
OFFICE OF THE DEPUTY VICE CHANCELLOR-ACADEMIC AND STUDENT AFFAIRS
UNIVERSIT EXAMINATIONS
2018/2019 ACADEMIC YEAR
FIRST YEAR FIRST SEMESTER EXAMINATION
FOR
DEGREE
IN
BACHELOR OF ARTS/EDUCATION ARTS
COURSE CODE:KIS 111
COURSE TITLE :INTRODUCTION TO KISWAHILI LITERATURE
DATE:15/10/2018 TIME:9:00AM-12:00PM
INSTRUCTIONS TO CANDIDATES
. Answer question ONE and any other TWO questions
. Do not write on the question paper
. Marks are shown at the end of each question
. Show workings in the answer booklet for award of full marks
. Mobile phones are not allowed in the examination venue
. Each question should begin on a fresh page
. Duration is 3 hours
THIS PAPER CONSISTS (2) PRINTED PAGES PLEASE TURN OVER
FIRST YEAR FIRST SEMESTER EXAMINATION
(FOR 2018/2019 ACADEMIC YEAR)
FOR DEGREE IN BACHELOR OF ARTS /EDUCATION ARTS
COURSE CODE:KIS 111
COURSE TITLE:INTRODUCTION TO KISWAHILI LITERATURE
MAAGIZO KWA WATAHINIWA
Jibu swali la KWANZA na mengine MAWILI
Muda:Saa Tatu
SWALI LA KWANZA
a. Eleza uhusiano uliopo kati ya fasihi na jamii ya binadamu (Alama 8)
b. Fasihi ya Kiswahili haipo. Jadili (Alama 12)
c. Eleza mchango wa fasili simulizi katika ukuaji wa fasihi andishi. (Alama 10)
SWALI LA PILI
Jadili vijenzi muhimu katika riwaya ya Kiswahili ukitolea mifano kutoka riwaya yoyote uliyoisoma. (Alama 20)
SWALI LA TATU
a. Eleza maana ya uhakiki wa fasihi. (Alama 2)
b. Kwa kurejelea mihimili ya nadharia ya udhanaishi, hakiki riwaya ya Rosa Mistika (E. Kezilahabi). (Alama 18)
SWALI LA NNE
Tofautisha: (Alama 20)
a. Mashairi huru na mashairi arudhi.
b. Riwaya sifa na riwaya ya vitisho.
c. Usuli na visasili.
d. Kejeli na istiari.
e. Methali na vitendawili.
SWALI LA TANO
Jadili nadharia nne zinazoelezea chimbuko la fasihi. (Alama 20)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes