Kiswahili Paper 1 (Insha) Question Paper
Kiswahili Paper 1 (Insha)
Course:Kiswahili
Institution: Kcse question papers
Exam Year:2006
INSHA
Saa 1 3/4
Andika insha mbili.Swali la kwanza ni la lazima.
Kisha chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobaki.
Kila insha isipungue maneno 400.
Kila insha ina alama 20.
1. Umeteuliwa kuwa katibu wa kamati inayotoa mapendekezo ya jinsi ya kupambana na tatizo sugu la dawa za kulevya.Andika ripoti yako.
2. Ukubwa ni jaa.
3. Malizia kwa..Wekundu wa uchwejua ulienea kila mahali;anga nzima ilijaa wekundu kama kwamba mazingira yalipatana na hali iliyokuwako.Kwa mbali niliisikia sauti iliyonikumbusha maneno niliyoambiwa zamani.Laiti ningeyasikiliza maneno hayo.
4."Utandawazi una athari mbaya katika maisha yetu."Jadili.
More Question Papers
Exams With Marking Schemes