Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kansbag Mwongozo Wa Kiswahili Karatasi 2 Question Paper

Kansbag Mwongozo Wa Kiswahili Karatasi 2 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2009



102/1
KISWAHILI INSHA
MWONGOZO WA KUSAHISHA

1. Mtindo wa kuandika
-Mwanafunzi aandike anwani ya kumbukumbu kwa herufi kubwa akitaja jins la chama ,mahali pa mkutano,tarehe ya mkutano na saa
-Orodha ya majina ya walioudhuria iambatane na nyadhifa zao.orodha ianze kwa jina la kwenye kiti.
-Orodha ya waliotuma udhuru
-Wasiotuma udhuru
-Waalikwa /wageni
-Ajendaza mkutano kv 1
2
3
-Mwanafunzi aanze kujadili ajenda moja baada ya nyingine k.m
-kumb.1/7/08-Ufunguzi
-kumb.2/7/08-Wasilisho la mwenyekiti
-kumb-3/7/08-Kusoma na kuthibitisha kumbukumbu za mkutano
-Kumb-4/7/08-Yatokanayo na kumbukubmu hizo
-Kumb-5/7/08-Ajenda za siku hiyo zikifuatana k.m- 1)Matumizi ya mihadarati
2)Vikundi vibaya

-Kumbukumbu ya mwisho iwe maswala mengineyo
-Kuthibitisha _________________ ____________
Mwenye kiti Tarehe

__________________ ____________
Katibu Tarehe

2. Baadhi ya hoja
-Kutoa mikopo
-Kuwapa elimu zaidi
-Kuwahasisha uzuri wa sekta hiyo
-Kuwapa wanajuakali vishawishi




3.
Hii ni insha ya methali Mtahiniwa atoe maana na matumizi ya methali
Maana:Huenda kukawa na jambo au mtu mashuhuri sana ila sio kuumanisha ni yeye tu kote kotekuna wengine japo wamenyamanza tu.
Matumizi:Hutumizi kwa watu wajitapao au kuona hodari au mashuhuri kuwakumbusha kuwa sio watu tu kuna wengine.

TB
-Kisa kisichoona na mada mtahiniwa atuzwe D (maki 01-02)
-Atakaye fafanua methali mwanzo hadi mwisho awekwe katika kiwango cha D- (maki01-02)
-Mtahiniwa lazima aisone insha yote ili aweze kuikadiria akizingatia viwango mbalimbali vilivyopendekezwa yaani ABC na D Kutegemea mahali popote kulingana na utahini wa KCSE.

JINSI YA KUTUZA
1) Kila insha iwe na maneno 400
2) Asiyetimiza urefu wa maneno 400 aondolewe alama mbili(-2u)
3) Mtahiniwa akijitugia swali na kujibu awekwe kiwango cha D- (Mki 01-02)
4) Asiyezingati sura ya insha atolewe alama nne(-45)baada ya kutuzwa
5) Katika insha yenye sehemu mbilimtahiniwa akishughulikia sehemu moja pekee aondolewe alama tano(-5m) baada ya kutuzwa
6) Insha yoyote ile ya kiwango cha Asharti awe ametimiza urefu(maneno 400)

ALAMA YA KUSAHISHA
1 -Chini ya sehemu ambayo kosa la kisarufi limetokezea kwa mara ya kwanza

2 -Chini ya neno ambalo kuwa hijai limetokeza kwa mara ya kwanza

3 -Kuonyesha kuachwa kwa neon

4 -Kuonyesha msamiati bora juu ya neno Alama itiwe juu ya neno lenyewe

5 -Kuonyesha msamiati usiofaa Alama hutiwa juu ya neno lenyewe






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers