Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kansbag Kiswahili Mwongozo Wa Karatasi 3 Question Paper

Kansbag Kiswahili Mwongozo Wa Karatasi 3 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2009



102/3
KISWAHILI FASIHI
KARATASI YA 3
MWONGOZO WA KUSAHIHISHA

1)
1. Shairi
a. subira huvuta heri
-dhiki haina husumbua
-mvumilivu hula mbivu. 2mk
b. mwanzo
molto
mleo 3mk
c. -shairi lina mishororo mitatu kila ubeti- tathihitha
-shairi llina vipande viwili kila ubeti
-shairi lina ubeti saba
-vina vya ndani na vya nje vinabadilika-badilika kutoka ubeti hadi mwingine - ukaraguni
-kipande cha mwisho cha mshororo wa tatu kinaanzisha ubeti unaofuata – pindu/nyoka
-mizani ya shairi ni 6,6 5mk
d. Ni jambo lifaalo kila mara mtu awe nalo kwa sababu kuna madhara makubwa ya kutokuwa 3mk
e. Inkisari – kufupisha maneno
Taiwa - takuwa
yaliva – nitalivaa
kuboroga sarufi –makubwa madhara
mazida -mudawe
tabdila - zinganilemeya 3mk
f. i)mtima – moyo
ii) dhiki- taabu
iii)madhara – matatizo 3mk
g. Papatuwe kama uwa la waridi 1mk

2)
2. KIFO KISIMANI
a. -Anayezungumza ni bokono
-Anazungumza na mkewe Nyalwe
-Wako sebuleni wanakula
-mkewe analalamika kwamba bokono hali kama awali 4mk
b. b) takriri /uradidi ya maswali
-tashbihi- usiniangslie kama kwamba mimi ni chui mwenye pembe 2mk
c. c)sifa za Nyalwe
-mshauri mwema
-mpenda haki
-mzalendo halisi
-msema ukweli
-mwenye huruma
-mpenda mzaha
-mwenye mapenzi ya dhati
-makini 6mk
d. -usaliti kwa wananchi
-washauri wandanganyifu
-uongozi wa mapendeleo-vijiji vyote si sawa
-unyanyasaji – wananchi wananyanyaswa – kunyakuliwa kwa ardhi n.k
-kunyimwa maji
-manaji ya watuhumiwa
-ukatali wa washauri askari na makachero
-viongozi kutawala milele
-kuzinduliwa kwa watu na wazalendo
-ufisadj uliopita mipaka na viongozi 8mk

3. kinaya ni mambo kwenda kinyume na matarajio au kuwa kinyume cha hali halisi
-mweke kumutia mweluzi mtukufu akiwa gerezani
-mweke kusema anataka kumhudumia mtemi mweluzi
-talui kumuita mweluzi mtemi bora kuliko watemi wote
-Mweke anamwabia mweluzi ‘Tafadhali wife!Butagi bado inaitaji uongozi wako
-Batu kusema sivyema motto wa Tanya kuwa gerezani ilhali amhusika katoka kukamatwa kwake
- askari ii anamwambia askari iii walale hapo langoni kwani watu wanawapenda kwa kazi nzuri ya kumzuia mfugwa
- Bokono kuuliza vile Mweluzi alitaka pingu kwa meno au kwa kucha
-Batu kusema ameenda kwa Tanya kama rafiki
-Batu kumwambia sana wasijali eti utawala wa Mtemi utashughulikia manaji na mavamizi.
-Wimbo wa Azena na Tanya km Hekima ya Mtemi Bokono kamwe haina mfano
-Askari II na wa III wanasema Mwelusi aambiwe awaone wana zawadi yake kwani ni mwerevu
-Zigu kumwambia Kaloo kanuni zote za Butangi zina msingi wa Busara
-Mweluzi kusema kwa Zingu”sasa yumo gerezani wanabutangi wana bahati sana -----;ilhali anajirejelea
-Askari wa I kusema kwamba Bokono akitaka aitiwe Mweke ataitwa
-Gege kufurahia kuna nduguye
-Washauri kumpa Bokono sifa za uongo
-Bokono kupuuza kanuni za ardhi badala ya kuzilinda kama kiongozi
-Bokono kuitwa na mkewe kipenzi cha watu
-Ni kinaya utawala kuwachomea watu mali
-Ni kinaya Batu kutarajia kuelezewa alikojificha Mwelusi na mamake
-Ni kinaya Nyalwe anaelewa kwamba Bokono hapendwi na watu huku Bokono hatambui
-Ni ajabu askari wanaua kuumiza na kuwachokoza wananchi badala ya kuwalinda 20mk

3)
4.
a. Utengano
-msemaji ni Biti Kocho
-anaeleza Bi Farashu
-wako kwa Farashu
-anaeleza mapigano yako na Bw. Makuudi baada ya maimuna kutoroka na Tamima kupata kitoto 4mk
b. Kazija anamchukia mwanamme anafurahi sana kuwakutanisha musa na babake
-maimuna amejawa na chuki dhidi ya babake –anatoroka na kukataa kuonana tena na babake
-wanawake makahaba kwa mama jane wanamchukia maimuna kwa kupendwa na wanaume sana-wanamsigizia kuiba
-kijakazi na shoka wanashiriki na kumkejeli maimuna –wanaishia kupigana
-inspekta fadhili anamchukia maksuudi kwa ufisadi – anamtia pingu mbele ya umati na kumpeleka jla siku ya mkutano wa siasa.
-wananchi wana chuki dhidi ya viongozi dhalimu – kisasi kinatokea kwa mkutano wa kisiasa
-bi farashuu amejawa na chuki kwa makusundi kwa kumtenda mwanawe – anamtorosha maimuna na kumpotosha.
-biti Kocho na wafanyikazi wenzake wanadhulumiwa na makundi – Biti Kocho anasaidia kumtorosha maimuna
-Maksuudi kasibu amuue Musa – chuki ya kupata na hawana wake
-Bi. Tamimi anaandika barua ya kumjibu Maksuudi
-Mkewe shoka analalamika kuachiwa majukumu yote ya nyumbani – anamzomea mumuwe ambaye anatisha kumcharaza

4) Hadithi fupi
5. Uteunzi wa moyoni
-Jamii haikuzigatia elimu yake Zena anaozwa kabla ya kumaliza elimu yake
-Ali anamchapa
-Ali anajicho la nje
-Ali anaonyesha vita kila wakati anapouliziwa kuwajibika kwake na Zena
-Wazazi wa Ali hawajali kipigo cha Zena cha kila wakati
-Zena analaumiwa kwa kutopata mtoto
-Mama Zena anamwambia huenda hajatimiza maswala ya ndoa
-Wanawake wa eneo bunge la Zena wanasema kwamba mwanamme ni wako akiwa nyumbani tu. Akitoka nje ni wa shirika.
-Zena anadharauliwa na kutusiwa wazi akiomba kura
-Wanauliza ni kipi ataweza Zena ambacho wanaume hawajatenda wanaume 20mk

Kachukua hatua nyingine
- Mavitu anamwachisha mkewe kazi
- Anamtuma nyumbani na kumwachia majukumu ya malezi
- Anapofika nyumbani kutoka NRB mkewe ndiye aliyesukumatroli.
- Sakina hakushughulishwa na hatua zilizochukuliwa
- Mmewe anamshuku huenda akachukuliwa na wanaume
- Urembo wa mwanamke (sakina )unawafanya wanaume kumdhibiti asiseme na wanaume
- Mwajiri wa Mavitu anamchukua msichana mdogo na kumpa kazi ya nyumbani badala ya kusoma
- Mwajiri anamtia mimba msichana mdogo wa mavitu
- Sakina kazi yake ilikuwa kulima na kuzaa. 10mk

5)
6.
a. Sifa za ngano za mazimwi
- Mazimwi huwa na uwezo mkuswa usio wa kawaida
- Huwa ni viumbe wa kuongofya
- Mazimwi huchirwa kama viumbe waliojaa uovu mkubwa
- Huwa na maumbile yasiyo ya kawaida mfano jicho moja pana
- Binadamu kuhusishwa katika matendo yao
- Uhuishi utumika sana
- Binadamu hutumia ujanja kujikomboa kutoka kwa mazimwi 5mk

b. – kubaidili sauti /toni kuonyesha hisia
- Kuiga vitsndo vya wahusika
- Kutumia uashiaji (gestures) ili kutoa au kuelezea jambo Fulani
- Kuipa hadhira abra ya kushiriki katika wimbo
- Kuuliza hadhira maswali ya balagha
- Kuhusisha mambo bainifu ambayo hadhira inayaelewa
- Kuonyesha hisia za wahusika kwa kutumia misuli ya uso 10mk
c. Tofauti kati ya hekaya na hurafa
- Hurafa hutumia wanyama pekee hekaya hutumia wanyama na binadamu
- Sifa ya ujanja utokeza katika hekaya ujanja sio lazima katika hurafa
- Muhusika mkuu katika hekaya hupatalindi la matatizo na kuyatatuwa kwa ujanja mwingi –sio lazima katika hurafa
- Ukubwa wa mwili si hoja kwa wahusika wa hekaya kushinda ukubwa wa mwili katika hurafa hutumika
- Mbinu kuu katika hekaya ni tahaniki – hurafa mbinu kuu ni uhuishi 5mk






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers