Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kis 202: Fonotiki Na Fonolojia Ya Kiswahili Question Paper

Kis 202: Fonotiki Na Fonolojia Ya Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education Arts In Kiswahili And Social Education And Ethics

Institution: Catholic University Of Eastern Africa question papers

Exam Year:2011



S1. a) Kwa kutumia mchoro, eleza bainifu za irabu za Kiswahili. (alama 12)
b) Fafanua dhana zifuatazo za kifonetiki na kifonolojia kwa kurejea
lugha ya Kiswahili;
(i) Mgawanyo wa kiutoano (alama 3)
(ii) Fonetiki masikizi (alama 3)
(iii) Glota (alama 3)
(iv) Akiki (alama 3)
(v) Silabi (alama 3)
(vi) Usilimisho (alama 3)

S2. Eleza viegezo mbalimbali vya kubainisha fonimu na alofoni.(alama 20)

S3. a)Eleza maana ya mikondo ya kifonologia.(alama 5)
b) Bainisha mikondo yoyote ya kifonolojia inayojitokeza katika Kiswahili
(alama 15)
S4. Huku ukitoa mifano yakinifu, ainisha konsonanti zozote tano za
Kiswahili ukizingatia namna ya kutamkwa. (alama 20)
S5. a) Eleza dhima ya sifa zifuatazo za Kiswahili katika mawasiliano:
(I) Kiimbo
(ii) Toni
(iii) Shadda(alama 9)

b) Silabi katika lugha ya Kiswahili huchukua miundo mbalilmbali.
Fafanua. (alama 11)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers