Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Aks101:Language Skills In Kiswahili Question Paper

Aks101:Language Skills In Kiswahili 

Course:

Institution: Pwani University question papers

Exam Year:2011



Pwani University College
A constituenu college of kenyatta University

1st Year Examination for The Degree of B.ed Arts and BA
Course code:AKS101:LANGUEGE SKILLS IN KISWAHILI
End of Semister 1
Muda:Masaa 3
Day/Time:Monday 8.00 am-11.00 am
Date:05.12.2011

Maagizo.
Jibu swali lg kwanza na mawili mengine

1.i)Eleza maana ya lugha al.2
ii)Fafanua dhana ya mawasiliano al.8
iii)Jadili vipengele vya mawasiliano kama vinvyodhihirishwa na Hybels and Weaver(1989) al 16

2.Fafanua mawanda ya mawasiliano kama yanavyosawiriwa na Condon(1975)al.22
3.Eleza mambo muhimu yanyozingatiwa wakati wa mahojiano ya kutafuta kazi. Al.22
4.i)Hotuba ni nini?
ii)Jadili sifa saba za hotuba nzuri.
5.i)Fafanua maana ya Jahajia.
ii) Tambua baadhi ya makosa ya Tahajia kwa kuyatolea mifano. Al.10
ii)jadili mikakati mbalimbali inayoweza kuboresha Tahajia al.10

6.Fafanua kwa kina sifa za matangazo ya kandanda. al.22






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers