Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Introduction To Language And Linguistics Question Paper

Introduction To Language And Linguistics 

Course:Bachelor Of Education Arts

Institution: Masinde Muliro University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2011



MAAGIZO.
Jibu maswali matatu.
1.a) Fafanua dhana ya lugha.(al 3)
b) Taja na ufafanue sifa tano za lugha ya binadamu.(al 10)
c) Eleza jinsi lugha ya binadamu hutofautiana na mawasiliano ya wanyama.(al 10)
2.a)Jadili mitazamo mitatu juu ya asili ya lugha.(al 9)
b) Jadili mitazamo mitatu juu ya asili ya kiswahili.(al 9)
c)Eleza asili ya neno Kiswahili.(al 5)
3.Kiswahili ni lugha ya Kibantu.Jadili kauli hii kwa kutumia mifano maridhawa.(al 23)
4.a) Fafanua maana ya isimu.(al 2)
b) Jadili kwa kina matawi ya isimu peke huku ukionyesha uhusiano kati yao.(al 12)
c) Fafanua uhusiano uliopo baina ya lugha na isimu.(al 12)
d) Taja matawi mengine ya isimu.(al 3)
5.a)Tofautisha kati ya irabu na Konsonanti.(al 4)
b)Jadili vigezo vitano vya kuainisha konsonanti.(al 7 1/2)
c) Jadili vigezo vinavyotumiwa kuainisha vokali.(al 7 1/2)
6.a) Jadili kwa kutolea mifano maridhawa dhana zifuatazo.
¡)Alofoni
¡¡)Fonimu
¡¡¡) Foni
¡v) Sentensi
v)Mofu
v¡)Mofimu
v¡¡)Kiambishi
v¡¡¡)Mzizi
b)Andika maneno yafuatayo katika hati za kifonetiki.
Ghamidha
Shone
Dhudhi
Teo
Ng'ang'a






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers