Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Historical Development Of Kiswahili. Question Paper

Historical Development Of Kiswahili. 

Course:Bachelor Of Special Needs Education

Institution: Mount Kenya University question papers

Exam Year:2012



MAAGIZO
Jibu swali la kwanza na mengine mawili.
SECTION A
1.(a)Ejeza baadhi ya matatizo ya KKAM.(alama 5)
(b)Kwa kurejelea mifano ya wafuasi watatu,jadili nadharia inayodai kuwa lugha ya Kiswahili ni lugha ya Kiarabu.(Alama 5)
(c) Eleza mbinu zifuatazo za ulindaji wa msamiati na istilahi za Kiswahili; (alama 4)
¡) Upanuzi wa msamiati
¡¡) Uradidi
(d) Changanua dhima/wajibu wa lugha ya taifa kwa ufupi.(alama 6)
(e) Eleza maana na sababu za upangaji lugha katika taifa lolote lile. (alama 5)
2.Kiswahili ni lugha ya Kibantu.Bainisha kauli hii kwa kuitolea hoja mbalimbali. (alama 20)
3.Kuna mbinu kadha zinazotumika katika uundaji wa istilahi na msamiati wa lugha ya Kiswahili.Jadili kauli hii kwa kuitolea mifano mwafaka.(alama 20)
4.Jadili malengo ya awali ya KKAM.(alama 20)
5.Kwa kurejelea maana ya lugha ya Taifa na sifa zake,eleza wajibu wa lugha.(alama 20)






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers