Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kiswahili Paper 1 Post Mock Paper Alliance Boys Question Paper

Kiswahili Paper 1 Post Mock Paper Alliance Boys 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2011



102/1
KISWAHILI
INSHA
MUDA: Saa 1.45

shule ya upili ya wavulana ya alliance
mtihani wa baada ya mwigo
Maagizo:
1. Andika insha mbili
2. Insha ya kwanza ni ya lazima
3. Chagua insha moja nyingine kutoka kwa zile tatu zilizobakia
4. Kila insha ina alama 20
5. Insha yako isipungue maneno 400

1. Wewe ni katibu wa chama cha usalama katika kaunti yako. Wakaazi wa kaunti hiyo wamelalamikia kuhusu usalama katika kaunti hiyi. Andika kumbukumbu za mkutano wa kamati hiyo uliofanywa hivi karibuni kuzungumzia suala la kuzorota kwa usalama na suluhisho la suala hilo
2. Rafiki yako mnayesoma naye hakurudi nyumbani baada ya likizo ya mwezi wa Agosti. Ulipodadisi sababu, ulisikia kuwa angetaka kuoa mpenzi wake wa darasa la sita. Mwandikie barua na umtahadharishe kuhusu hatua hiyo.
3. Kila nci ya Kiafrika inapaswa kujitolea ima fa ima kuimarisha umoja wa taifa kupitia sera za uongozi wake.
4. Endeleza kiza hiki mpaka mwisho.
Niliposikia simu, nilisikia sauti nzito, “wewe ndiwe Baruti Katembo?” “naam,” nilijibu. Sauti iliendelea, “njoo kituo cha polisi cha Mwembe Tayari haraka. Kuna dharura…






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers