Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Aks303;Contemporary Kiswahili And Novel Question Paper

Aks303;Contemporary Kiswahili And Novel 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2010



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATION 2009/2010
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AKS 303:CONTEMPORARY KISWAHILI NOVEL AND PLAY
Date Tue 6thApril 2010 TIME 11:00AM-1:00PM
MAAAGIZO
Jibu maswali matatu(swali moja kutoka kila sehemu)
SEHEMU A
1"Mbinu zinazotumika katika katika utunzi wa uwasilishaji wa riwaya na tamthilia ya kisasa ya kiswahili zinafanana na kutofautiana" Fafanua kauli hii ukizingatia riwaya ya Mwisho wa kosa(Z.Burhani)na Tamthilia ya Antingoni(Sofikile)
2.Huku ukitoa mifano inayofaa fafanua maswala mawili ibuka yanayowasilishwa katika utubora mkulima(S.Robert)au Pango(K.Wamitila)kisha ueleze kwa kifupi mwelekeo wa kila mtunzi kuhusu mswala hayo.
SEHEMU B
3Huku ukizingatia mbiu ya sadfa, eleza ufaafu na udhaifu wake katika riwaya ya utengano(S.A.Mohammed)
4.Riwaya ya mafuta(K.Mkangi)inaploti tata.jadili
SEHEMU C
5.Fafanunua mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa na mhakiki anapotathmini mazungumzo katika tamthlia ya Mama Ee.(A.K.Mwachofi)
6.Mgogoro na msuko ina nafasi gani katika muundo wa tamthilia ya kifo kisimani(K.Wamberia)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers