Aks102:Historia Na Maendeleo Ya Kiswahili Question Paper
Aks102:Historia Na Maendeleo Ya Kiswahili
Course:Bachelor Of Arts In Kiswahili
Institution: Kenyatta University question papers
Exam Year:2012
CHUO KIKUU CHA KENYATTA
(KITUI CAMPUS)
IDARA YA KISWAHILI NA LUGHA ZA KIAFRIKA
Mujarabu wa pili
AGIZO:Jibu maswahili vote:
1.Fafanua manufaa matano ya kusoma historia na maendeleo ya kiswahili.(al 5)
2.Tathmini mchango wa wamishenari katika ukuzaji na uendeleaji wa kiswahli katika afrika mashariki.(ala10)
3.Taja harakati za waarabu zilivyotatiza ukuaji wa kiswahili Afrika mashariki(ala5)
4.Eleza changamoto tano za utendakazi wa kamati ya kiswahili ya Afrika Mashariki katika kipindi cha mwaka 1930-1961(ala 10)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes