Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Aks 400:Sociolinguistics Question Paper

Aks 400:Sociolinguistics 

Course:Bachelor Of Arts

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
THE DEGREE FOR THE BACHELOR OF ARTS AND BACHELOR OF EDUCATION

AKS 400:SOCIOLINGUISTICS
DATE:WEDNESDAY 12TH AUGUST 2009
TIME:2.00PM-4.00PM

MAAGIZO:
JIBU SWALI LA KWANZA NA MENGINE MAWILI

1.Fafanua mambo ambayo yanapaswa kuzingatiwa katika uteuzi wa lugha ya taifa.Tumia mfano wa taifa la Kenya.


2.Jadili maswala yanayoshughulikiwa na taaluma ya isimu-jamii.


3.Fafanua mambo yanayoathiri uteuzi na matumizi ya lugha katika jamii.


4.Bainisha mazingira ambamo matumizi yafuatayo ya lugha huweza kutokea
(a)Pijini

(b)Sheng'

(c)Lingua- Franka


5.Kwa nini hutokea kuchanganya na kuhamisha lugha katika mawasiliano?


6.Lugha ya maongezi ya kawaida inatofautiana vipi na lugha inayotumiwa mahakamani?






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers