Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Nandi Central-Kiswahili Paper 1 Question Paper

Nandi Central-Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:



Jina ………………………………………………………… Nambari Yako ……………………
Shule ………………………………………………………. Sahihi ……………………………..
Tarehe …………………………….

102/1
KISWAHILI
KARATASI YA 1
(INSHA)
JULAI / AGOSTI 2009
MUDA: SAA 13/4






NANDI CENTRAL DISTRICT
JOINT EVALUATION TEST - 2009
Kenya Certificate of Secondary Education (K.C.S.E)




102/1
KISWAHILI
KARATASI YA 1
(INSHA)
JULAI / AGOSTI 2009
MUDA: SAA 13/4


MAAGIZO:
• Andika insha mbili.
• Swali la kwanza ni la lazima
• Kila insha isipungue maneno 400
• Kila insha ina alama 20













Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa, watahiniwa
lazima wahakikishe kurasa zote zimepigwa chapa
sawa sawa na kuwa maswali yote yamo.


SWALI LA 1
Wewe ni mwanahabari katika shirika la KTV. Andika mahojiano kati yako na Waziri wa Kilimo nchini kuhusu athari za baa la njaa na hatua zinazochukuliwa na serikali katika kukabiliana na tatizo hili.


SWALI LA 2
Wewe kama mbunge, andika hotuba utakayoitoa kuhusu mipango iliyofanywa na kamati yako kuhakikisha amani inadumishwa katika eneo bunge lako.


SWALI LA 3
Kelele za mlango haziniasi usingizi


SWALI LA 4
Buni kisa kitakachoishia kwa maneno haya:
……………… nidhamu maishani ni ngao ya janga lolote.






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers