Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Rarieda District Kiswahili Paper 1 Question Paper

Rarieda District Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2009



102/1
KISWAHILI
Karatasi ya 1
INSHA
Julai / Agosti 2009
Saa 1 ¾






MTIHANI WA TATHMINI YA PAMOJA
WILAYA YA RARIEDA - 2009
HATI YA KUHITIMU KISOMO CHA SEKONDARI KENYA – (K.C.S.E.)
KISWAHILI
Karatasi ya 1
INSHA
Julai / Agosti 2009
Saa 1 ¾



MAAGIZO:

Andika insha mbili.
Insha ya kwanza ni ya lazima
Kisha chagua insha moja nyingine kutoka hizo nne zilizobakia
Kila insha isipungue maneno 400
Kila insha ina alama 20





Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa
Watahiniwa lazima wahakikishe kurasa zote zimepigwa chapa sawa sawa na kuwa maswali yote yamo.









1. Umeteuliwa katibu wa kamati ya kitaifa ya watu wanane mashuhuri, kuchunguza chanzo cha
ghasia za baada ya uchaguzi mkuu wa Disemba, 2007 nchini Kenya. Andika kumbukumbu za
mkutano wenu wa kwanza huku ukipendekeza mikakati ifaayo kuchukuliwa kuepusha tukio kama
hilo katika siku za usoni.

2. Vijana wa sasa wanakumbwa na changamoto nyingi za maisha. Thibitisha kauli hii huku ukieleza
namna wanavyoweza kuzishughulikia.

3. Dhihirisha matumizi ya methali: Badiliko kwa mjukuu huanza na babu.

4. Andika insha itakayomalizikia kwa kifungu hiki:-
……….. Ndivyo wahenga wakanena kuwa aliye juu mngojee chini. Hii ni zamu yao sasa.
Wamewadhulumu wanawake kwa miaka na mikaka. Wacha wapate kichapo cha kisasi.






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers