Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Narok District Kiswahili Paper 1 Question Paper

Narok District Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2009



102 /1
KISWAHILI
KARATASI 1
INSHA










MAAGIZO
? Jibu maswali mawili.
? Swali la kwanza ni la lazima.
? Insha ya pili isipungue maneno 400.
? Kila insha ina alama 20.










MASWALI

1. Andika mahojiano yaliyofanywa na polisi kwa mshukiwa aliyepatikana na mali ya wizi.

2. Maslahi ya wanawake yanawezaje kuimarishwa humu nchini?

3. Mkuki kwa nguruwe ni mtamu kwa binadamu mchungu.

4. Andika kisa kitakachomalizika kwa ---- laiti ningalijua ningalitilia mawaidha ya wavyele wangu maanani






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers