Mtu aliyefiwa akiambiwa 'makiwa'anapaswa kujibu vipi iwapo mazishi ya marehemu yamekamilika

      

Mtu aliyefiwa akiambiwa 'makiwa'anapaswa kujibu vipi iwapo mazishi ya marehemu yamekamilika

  

Answers


Felix
Jibu ni "yamepita". Hili ni kwa sababu marehemu keshazikwa,mfiwa hujibu "tunayo"iwapo marehemu bado hajazikwa na mpangilio wa mazishi ungali unaendelea
Felix98 answered the question on October 10, 2017 at 14:35


Next: Describe land preparation and planting in carrot production.
Previous: Describe five roles of agricultural based women groups in farming.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions