Ainisha vivumishi katika sentensi hii: wanafunzi wavulana waliandika insha ngapi za Kiswahili?

      

Ainisha vivumishi katika sentensi hii: wanafunzi wavulana waliandika insha ngapi za
Kiswahili?

  

Answers


kinyua
Wavulana - kivumishi cha nomino
Ngapi - kivumishi kiulizi
Za - kivumishi cha a-unganifu
monica20 answered the question on October 10, 2017 at 15:06


Next: Eleza maana ya mofimu
Previous: Taja king’ong’o cha kaakaa gumu.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions