Angalau - hueleza jambo lililo bora zaidi
aghalabu –mara kwa mara
monica20 answered the question on October 10, 2017 at 15:09
- Taja king’ong’o cha kaakaa gumu.(Solved)
Taja king’ong’o cha kaakaa gumu.
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)
- Ainisha vivumishi katika sentensi hii: wanafunzi wavulana waliandika insha ngapi za
Kiswahili?(Solved)
Ainisha vivumishi katika sentensi hii: wanafunzi wavulana waliandika insha ngapi za
Kiswahili?
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)
- Eleza maana ya mofimu(Solved)
Eleza maana ya mofimu
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)
- Maazimio mengine yanazungumzia juu ya kuondolewa kwa ubaguzi dhidi ya wanawake,
kushiriki kwao katika uendelezaji wa amani ya kimataifa na ushirikiano wa kimataifa,
majukumu yao katika jamii,...(Solved)
Maazimio mengine yanazungumzia juu ya kuondolewa kwa ubaguzi dhidi ya wanawake,
kushiriki kwao katika uendelezaji wa amani ya kimataifa na ushirikiano wa kimataifa,
majukumu yao katika jamii, mfuko wa Umoja wa Mataifa wa wanawake (Unifem) na
kuimarisha hadhi ya wanawake katika sekretariati ya Umoja wa Mataifa miongoni mwa
shughuli nyingine katika mkabala huu.
Wanawake wameonyesha vipaji vyao katika Nyanja mbalimbali za maisha; siasa, uchumi,
utawala na kadhalika. Wanawake wamejikakamua na kudhihirisha kuwa wao pia wana jukumu
muhimu la kutekeleza ili kuyaongoza maisha yao na ya watu wengi. Wadumishaji wa dhuluma
za kijinsia hawana budi kusalimu amri na kuukubali ukweli huu, wapende wasipende.
Mtazamo juu ya haki sawa unatokana na kukubaliwa na kuondolewa kwa aina zote za ubaya
dhidi ya wanawake wanaojitolea mhanga kutetea hadhi yao pamoja na ya wanyonge wengine.
Wao huonekana kama waasi, wapinga mila na watovu wa utii.
b) Kwa kurejelea aya mbili za mwisho, eleza maswali muhimu anayoibua mwandishi
(maneno 60 -65)
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)
- Mtu aliyefiwa akiambiwa 'makiwa'anapaswa kujibu vipi iwapo mazishi ya marehemu yamekamilika(Solved)
Mtu aliyefiwa akiambiwa 'makiwa'anapaswa kujibu vipi iwapo mazishi ya marehemu yamekamilika
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)
- Identify the method used in making sangoan tools.(Solved)
Identify the method used in making sangoan tools.
Date posted: October 9, 2017. Answers (1)
- Tunga sentensi mojamoja kubainisha: ...(Solved)
Tunga sentensi mojamoja kubainisha: i) kihusishi cha wakati
Date posted: October 4, 2017. Answers (1)
- Andika sauti mwambatano inayotarnkiwa kwenye ufizi(Solved)
Andika sauti mwambatano inayotarnkiwa kwenye ufizi
Date posted: October 4, 2017. Answers (1)
- Eleza maana ya sauti mwambatano(Solved)
Eleza maana ya sauti mwambatano
Date posted: October 4, 2017. Answers (1)
- "Rununu (simutamba) imeleta athari mbaya katika jamii." Jadili(Solved)
"Rununu (simutamba) imeleta athari mbaya katika jamii." Jadili
Date posted: October 4, 2017. Answers (1)
- Linganisha na ulinganue fasihi simulizi na fasihi andishi.(Solved)
Linganisha na ulinganue fasihi simulizi na fasihi andishi.
Date posted: September 29, 2017. Answers (2)
- Maana ya hadithi na sifa zake (Solved)
Maana ya hadithi na sifa zake
Date posted: September 27, 2017. Answers (1)
- Unda jina moja kutokana na majina yoyote mawili ya Kiswahili sanifu(Solved)
Unda jina moja kutokana na majina yoyote mawili ya Kiswahili sanifu
Date posted: September 25, 2017. Answers (1)
- Yaandike maneno yafuatayo katika ufupi wake
(i) Shangazi zako
(ii) Mama zako(Solved)
Yaandike maneno yafuatayo katika ufupi wake
(i) Shangazi zako
(ii) Mama zako
Date posted: September 25, 2017. Answers (1)
- Tofautisha maana
(a) Ningekuwa na uwezo ningesafiri kwenda ng’ambo
(b) Ningalikuwa na uwezo ningalisafiri kwenda ng’ambo(Solved)
Tofautisha maana
(a) Ningekuwa na uwezo ningesafiri kwenda ng’ambo
(b) Ningalikuwa na uwezo ningalisafiri kwenda ng’ambo
Date posted: September 25, 2017. Answers (1)
- Eleza tofauti ya semi mbili zilizopigwa mstari
(a) Kevoga hana muhali; ikiwa hawezi kukufanyia jambo atakwambia (hana muhali)
(b) Kevogo hana muhula; hivi sasa amekuambia hawezi kukufanyia...(Solved)
Eleza tofauti ya semi mbili zilizopigwa mstari
(a) Kevoga hana muhali; ikiwa hawezi kukufanyia jambo atakwambia (hana muhali)
(b) Kevogo hana muhula; hivi sasa amekuambia hawezi kukufanyia jambo hili
Date posted: September 25, 2017. Answers (1)
- Andika sentensi tatu kuonyesha maana tatu tofauti za neno KINA(Solved)
Andika sentensi tatu kuonyesha maana tatu tofauti za neno KINA
Date posted: September 25, 2017. Answers (1)
- Sentensi ifuatayo ina maana mbili totauti. Zieleze
Huyu amekuja kutuliza(Solved)
Sentensi ifuatayo ina maana mbili totauti. Zieleze
Huyu amekuja kutuliza
Date posted: September 25, 2017. Answers (1)
- Ni mbinu gani za lugha zinazotumiwa katika sentensi hizi?
(a) Juma si simba wetu hapa kijijini
(b) Juma ni shujaa kama simba(Solved)
Ni mbinu gani za lugha zinazotumiwa katika sentensi hizi?
(a) Juma si simba wetu hapa kijijini
(b) Juma ni shujaa kama simba
Date posted: September 25, 2017. Answers (1)
- Tumia viunganishi vifuatavyo katika sentensi ...(Solved)
Tumia viunganishi vifuatavyo katika sentensi
(a) Minghairi ya
(b) Maadam
Date posted: September 25, 2017. Answers (1)