Kanusha sentensi ifuatayo: Chakula ambacho kimepikwa sasa kisingalinunuliwa jana kisingaliiva mapema.

      

Kanusha sentensi ifuatayo:
Chakula ambacho kimepikwa sasa kisingalinunuliwa jana kisingaliiva mapema.

  

Answers


kinyua
Chakula ambacho kimepikwa sasa kingalinunuliwa jana kingaliiva mapema
monica20 answered the question on October 10, 2017 at 15:10


Next: Tunga sentensi moja moja inayodhihirisha matumizi ya maneno yafuatayo (i) Angalau (ii) Aghalabu
Previous: Andika kwa wingi: Ugomvi ulipozuka pale ulimi wake ulipatapata.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions