Tunga sentensi ukitumia neno ‘kinanda’ kisha ubainishe ngeli yake.

      

Tunga sentensi ukitumia neno ‘kinanda’ kisha ubainishe ngeli yake.

  

Answers


kinyua
Kinanda kile kinapendeza
- Vinanda vile vinapendeza
monica20 answered the question on October 10, 2017 at 15:13


Next: Andika kwa udogo Nguo yake iliraruliwa na mbwa mkorofi.
Previous: Andika katika usemi halisi Afisa alitaka kujua idadi ya mahabusu ambao wangeachiliwa keshoye.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions