Andika katika usemi halisi Afisa alitaka kujua idadi ya mahabusu ambao wangeachiliwa keshoye.

      

Andika katika usemi halisi
Afisa alitaka kujua idadi ya mahabusu ambao wangeachiliwa keshoye.

  

Answers


kinyua
“Ni mahabusu wangapi wataachiliwa kesho?” Afisa aliuliza.
monica20 answered the question on October 10, 2017 at 15:15


Next: Tunga sentensi ukitumia neno ‘kinanda’ kisha ubainishe ngeli yake.
Previous: Andika sentensi ifuatayo katika kauli ya kutendama Habari za kifo chake zilifichwa

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions