Bainisha matumizi ya ‘ni’ katika sentensi ifuatayo: Twendeni tuone mhubiri ni nani?

      

Bainisha matumizi ya ‘ni’ katika sentensi ifuatayo:
Twendeni tuone mhubiri ni nani?

  

Answers


kinyua
Twendeni – amri/wingi wa wahusika
Ni – kitenzi kishirikishi kipungufu
Nani – kiulizi
monica20 answered the question on October 10, 2017 at 15:31


Next: Kanusha Mwanafunzi hodari apongezwa na rais.
Previous: Tambua chagizo Ninaenda Nakuru lakini nitarudi saa moja

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions