Kanusha sentensi hii kwa kutumia kiwakilisho amba (alama 2) Ubao upakwao rangi hupendeza

      

Kanusha sentensi hii kwa kutumia kiwakilisho amba (alama 2)
Ubao upakwao rangi hupendeza

  

Answers


kinyua
Ubao ambao haupakwi rangi haupendezi
monica20 answered the question on October 10, 2017 at 15:34


Next: Unda nomino mbili kutokana na neno hudumu
Previous: Ala tuli ni nini?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions