Usanifishaji wa lugha ni nini?

      

Usanifishaji wa lugha ni nini?

  

Answers


kinyua
Ni uamuzi wa kuchagua lugha moja au mojawapo wa lahaja na kuifanyia marekebisho
kimatamshi,
kimaandishi, kimaana n.k ili iweze kutumika shughuli rasmi
monica20 answered the question on October 10, 2017 at 15:35


Next: Ala tuli ni nini?
Previous: Which European power was accused of speeding the world war one and paid the expenses?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions