Eleza matumizi matatu ya kikomo huku ukitolea mifano mwafaka.

      

Eleza matumizi matatu ya kikomo huku ukitolea mifano mwafaka.

  

Answers


Winnie
-Kuonyesha mwisho wa sentesi, mfano;Kioo kimepotea.

-Katika kufupisha maneno,mfano;Dkt.

-Kuonyesha senti katika pesa, mfano; Bei yake ni shilingi 12.50
Wincate 1 answered the question on October 12, 2017 at 14:41


Next: Give four signs that a cow may show hours to giving birth.
Previous: State four factors to consider when selecting a breeding stock

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions