Eleza matumizi mawili ya parandesi kama alama za uakifishaji.

      

Eleza matumizi mawili ya parandesi kama alama za uakifishaji.

  

Answers


Winnie
-Kutoa maelezo zaidi, mfano;Anto (aliyeimba Binti Luxuries) ametoa wimbo mpya.

-Kutoa neno jingine lenye maana sawa, mfano;Mabanati (wasichana) hao hutembea uchi jijini usiku wa manane.
Wincate 1 answered the question on October 12, 2017 at 14:49


Next: Differentiate between cross breeding and line breeding
Previous: State four signs of heat in a cow

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions