(i)YA-YA
(ii)LI-YA
isaacmuthini answered the question on October 12, 2017 at 13:03
- Eleza matumizi mawili ya parandesi kama alama za uakifishaji.(Solved)
Eleza matumizi mawili ya parandesi kama alama za uakifishaji.
Date posted: October 11, 2017. Answers (1)
- Eleza thana ya nomino za pekee.(Solved)
Eleza thana ya nomino za pekee.
Date posted: October 11, 2017. Answers (1)
- Eleza matumizi matatu ya kikomo huku ukitolea mifano mwafaka.(Solved)
Eleza matumizi matatu ya kikomo huku ukitolea mifano mwafaka.
Date posted: October 11, 2017. Answers (1)
- Ni nini umuhimu wa kusanifisha lugha ya Kiswahili?(Solved)
Ni nini umuhimu wa kusanifisha lugha ya Kiswahili?
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)
- Usanifishaji wa lugha ni nini?(Solved)
Usanifishaji wa lugha ni nini?
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)
- Ala tuli ni nini?(Solved)
Ala tuli ni nini?
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)
- Kanusha sentensi hii kwa kutumia kiwakilisho amba (alama 2)
Ubao upakwao rangi hupendeza(Solved)
Kanusha sentensi hii kwa kutumia kiwakilisho amba (alama 2)
Ubao upakwao rangi hupendeza
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)
- Unda nomino mbili kutokana na neno hudumu(Solved)
Unda nomino mbili kutokana na neno hudumu
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)
- Tambua chagizo
Ninaenda Nakuru lakini nitarudi saa moja(Solved)
Tambua chagizo
Ninaenda Nakuru lakini nitarudi saa moja
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)
- Bainisha matumizi ya ‘ni’ katika sentensi ifuatayo:
Twendeni tuone mhubiri ni nani?(Solved)
Bainisha matumizi ya ‘ni’ katika sentensi ifuatayo:
Twendeni tuone mhubiri ni nani?
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)
- Kanusha
Mwanafunzi hodari apongezwa na rais.(Solved)
Kanusha
Mwanafunzi hodari apongezwa na rais.
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)
- Andika sentensi ifuatayo katika kauli ya kutendama
Habari za kifo chake zilifichwa(Solved)
Andika sentensi ifuatayo katika kauli ya kutendama
Habari za kifo chake zilifichwa
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)
- Andika katika usemi halisi
Afisa alitaka kujua idadi ya mahabusu ambao wangeachiliwa keshoye.(Solved)
Andika katika usemi halisi
Afisa alitaka kujua idadi ya mahabusu ambao wangeachiliwa keshoye.
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)
- Tunga sentensi ukitumia neno ‘kinanda’ kisha ubainishe ngeli yake.(Solved)
Tunga sentensi ukitumia neno ‘kinanda’ kisha ubainishe ngeli yake.
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)
- Andika kwa udogo
Nguo yake iliraruliwa na mbwa mkorofi.(Solved)
Andika kwa udogo
Nguo yake iliraruliwa na mbwa mkorofi.
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)
- Yakinisha
Usipojibu swali hii utawaudhi wengi.(Solved)
Yakinisha
Usipojibu swali hii utawaudhi wengi.
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)
- Andika kwa wingi:
Ugomvi ulipozuka pale ulimi wake ulipatapata.(Solved)
Andika kwa wingi:
Ugomvi ulipozuka pale ulimi wake ulipatapata.
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)
- Kanusha sentensi ifuatayo:
Chakula ambacho kimepikwa sasa kisingalinunuliwa jana kisingaliiva mapema.(Solved)
Kanusha sentensi ifuatayo:
Chakula ambacho kimepikwa sasa kisingalinunuliwa jana kisingaliiva mapema.
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)
- Tunga sentensi moja moja inayodhihirisha matumizi ya maneno yafuatayo (i) Angalau (ii) Aghalabu(Solved)
Tunga sentensi moja moja inayodhihirisha matumizi ya maneno yafuatayo
i) Angalau
ii) Aghalabu
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)
- Taja king’ong’o cha kaakaa gumu.(Solved)
Taja king’ong’o cha kaakaa gumu.
Date posted: October 10, 2017. Answers (1)