Eleza maana ya vigano

      

Eleza maana ya vigano

  

Answers


KELVIN
Ni hadithi fupi zinazosimulia kuhusu matendo mabaya katika jamii na wakati uo huo kuonya na kuelekeza dhidi yayo na aghalabu huandamana na methali kwa lengo la kufafanua linalokusudiwa au kudhibitisha funzo la methali Fulani
kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 15:06


Next: Taja sifa nne za vigano
Previous: Taja sifa zozote tano za soga

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions