Taja sifa zozote tano za soga

      

Taja sifa zozote tano za soga

  

Answers


KELVIN
b) Wahusika ni wa kubuni.
c) Hutaja ukweli unaoumiza.
d) Hutumia vichekesho kupunguza ukali wa dhihaka.
e) Hutumia chuku kupita kiasi.
f) Huhusu tukio moja.
g) Huwa ni fupi.

kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 15:08


Next: Eleza maana ya vigano
Previous: Taja umuhimu wa soga katika jamii.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions