Taja umuhimu wa soga katika jamii.

      

Taja umuhimu wa soga katika jamii.

  

Answers


KELVIN
i. Kukashifu matendo hasi kwa njia ya ucheshi
ii. Kuonya na kutahadharisha dhidi ya matendo hasi k.v. ulaghai.
iii. Kufunza maadili.
iv. Kuburudisha kwa kuchekesha

OR

? Kukejeli matendo ya binadamu ambayo huwa na matokeo mabaya au yasiyofaa katika jamii.
? Huwaelekeza wanajamii kwenye mambo au tabia inayofaa au inachukuliwa kama msingi mzuri kwa matendo ya binadamu.
? Huwasilisha mafunzo fulani kuhusu matendo na tabia ya binadamu.
? Ni msingi wa burudani hata kutokana na utani na ucheshi wake.
? Huonyesha utani uliopo katika jamii.
kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 15:10


Next: Taja sifa zozote tano za soga
Previous: Eleza maana ya kumbukumbu katika fasihi simulizi.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions