Eleza maana ya mapisi

      

Eleza maana ya mapisi

  

Answers


KELVIN
Maelezo ya kihistoria yasiyo na ubunifu wowote k.v. chimbuko la kundi la wabantu kutoka Afrika ya Kati na kuenea sehemu mbalimbali za Afrika.
kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 15:17


Next: Eleza maana ya tarihi.
Previous: Fafanua nini maana visasili

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions