Fafanua nini maana visasili

      

Fafanua nini maana visasili

  

Answers


KELVIN
Ni masimulizi ya matukio yaliyotendeka zamani k.v. vita, majanga na hamahama za jamii.

AMA

Visasili ni hadithi zinazoeleza chanzo cha mambo au kitu. kwa mfano Asili ya jamii ya wakikuyu, asili ya kifo.
kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 15:20


Next: Eleza maana ya mapisi
Previous: Taja tofauti zozote nne baina ya mighani na visasili.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions