Taja tofauti zozote nne baina ya mighani na visasili.

      

Taja tofauti zozote nne baina ya mighani na visasili.

  

Answers


KELVIN
mighani
i. Husimulia kuhusu mashujaa.
ii. Husimulia historia ya jamii.
iii. Wahusika wakuu ni majagina.
iv. Hueleza sifa za majagina.

visasili
i)Husimulia asili ya vitu.

ii)Husimulia mianzo ya vitu au mambo.
iii)Wahusika ni k.v. binadamu, miungu, wanyama, n.k.
iv)Hueleza mianzo ya desturi.

kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 15:26


Next: Fafanua nini maana visasili
Previous: Taja sifa nne za mighani

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions