Taja sifa nne za mighani

      

Taja sifa nne za mighani

  

Answers


KELVIN
a) Huhusu mashujaa wa jamii fulani.
b) Wahusika hupambana na hali ngumu inayosababishwa na maadui.
c) Wahusika hupewa sifa na uwezo usiokuwa wa kawaida k.v. ukubwa wa ajabu, nguvu katika kivuli, nguvu katika nywele, kutoulika n.k.
d) Wahusika hupigania haki za wanyonge.
e) Mhusika hukomboa jamii yake dhidi ya maadui.

kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 15:29


Next: Taja tofauti zozote nne baina ya mighani na visasili.
Previous: Fafanua maana ya mighani

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions