Fafanua maana ya mighani

      

Fafanua maana ya mighani

  

Answers


KELVIN
Hadithi za mashujaa/majagina wa jamii fulani k.m. Rwanda Magere wa Waluo, Fumo Liyongo wa Wapate, Koome Njue wa Wameru, Wangu wa Makeri wa Wakikuyu na Syokimau wa Wakamba
kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 15:30


Next: Taja sifa nne za mighani
Previous: Taja sifa nne za ngano za mtanzuko

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions