Eleza maana ya ngano za mtanziko.

      

Eleza maana ya ngano za mtanziko.

  

Answers


KELVIN
Ni hadithi ambapo mhusika hukabiliwa hali ngumu ya kuamua baina ya mambo wawili au zaidi yanayomkabili
kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 15:33


Next: Taja sifa nne za ngano za mtanzuko
Previous: Ngano za mashujaa zina umuhimu upi?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions