a) Kuhimiza uzalendo na ujasiri miongoni mwa vijana.
b) Kuhimiza ujasiri miongoni mwa vijana.
c) Kusifu mashujaa katika jamii
d) Kuelimisha jamii kwa kuwapa maarifa ya kukabiliana na changamoto, inda na ila.
e) Kuhimiza uzalendo kwa kuhimiza watu kuiga mashujaa na kupigania jamii.
f) Kuonya dhidi ya matendo hasi k.v. ukatili.
g) Kuhimiza watu kutokata tamaa
kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 15:34
- Eleza maana ya ngano za mtanziko.(Solved)
Eleza maana ya ngano za mtanziko.
Date posted: October 20, 2017. Answers (1)
- Taja sifa nne za ngano za mtanzuko(Solved)
Taja sifa nne za ngano za mtanzuko
Date posted: October 20, 2017. Answers (1)
- Fafanua maana ya mighani(Solved)
Fafanua maana ya mighani
Date posted: October 20, 2017. Answers (1)
- Taja sifa nne za mighani(Solved)
Taja sifa nne za mighani
Date posted: October 20, 2017. Answers (1)
- Taja tofauti zozote nne baina ya mighani na visasili.(Solved)
Taja tofauti zozote nne baina ya mighani na visasili.
Date posted: October 20, 2017. Answers (1)
- Fafanua nini maana visasili(Solved)
Fafanua nini maana visasili
Date posted: October 20, 2017. Answers (1)
- Eleza maana ya mapisi(Solved)
Eleza maana ya mapisi
Date posted: October 20, 2017. Answers (1)
- Eleza maana ya tarihi.(Solved)
Eleza maana ya tarihi.
Date posted: October 20, 2017. Answers (1)
- Eleza maana ya kumbukumbu katika fasihi simulizi.(Solved)
Eleza maana ya kumbukumbu katika fasihi simulizi.
Date posted: October 20, 2017. Answers (1)
- Taja umuhimu wa soga katika jamii.(Solved)
Taja umuhimu wa soga katika jamii.
Date posted: October 20, 2017. Answers (1)
- Taja sifa zozote tano za soga(Solved)
Taja sifa zozote tano za soga
Date posted: October 20, 2017. Answers (1)
- Eleza maana ya vigano(Solved)
Eleza maana ya vigano
Date posted: October 20, 2017. Answers (1)
- Taja sifa nne za vigano(Solved)
Taja sifa nne za vigano
Date posted: October 20, 2017. Answers (1)
- Eleza sifa mbalimbali za sauti /ch/(Solved)
Eleza sifa mbalimbali za sauti /ch/
Date posted: October 12, 2017. Answers (1)
- Taja tofauti kati ya konsonanti na irabu.(Solved)
Taja tofauti kati ya konsonanti na irabu.
Date posted: October 12, 2017. Answers (1)
- Kamilisha kwa vielezi viigizi vifuatavyo: (i) Funga mlango (ii) Yule mtu ananuka(Solved)
Kamilisha kwa vielezi viigizi vifuatavyo:
i) Funga mlango
ii) Yule mtu ananuka
Date posted: October 12, 2017. Answers (1)
- Weka nomino zifuatazo katika ngeli zake. (i) Kipepeo (ii) Maziwa(Solved)
Weka nomino zifuatazo katika ngeli zake.
i) Kipepeo
ii) Maziwa
Date posted: October 12, 2017. Answers (1)
- Tunga sentensi katika kauli ya kutendewa ukitumia vitenzi vifuatavyo (i) Wa (ii) Chwa(Solved)
Tunga sentensi katika kauli ya kutendewa ukitumia vitenzi vifuatavyo
i) Wa
ii) Chwa
Date posted: October 12, 2017. Answers (1)
- Andika katika usemi halisi
Juma alisema kwamba hangependa kumwona mwanawe akiteseka.(Solved)
Andika katika usemi halisi
Juma alisema kwamba hangependa kumwona mwanawe akiteseka.
Date posted: October 12, 2017. Answers (1)
- Andika sentensi ifuatayo katika umoja;
Hao wenyewe hawakuzingatia mafunzo ya lishe bora.(Solved)
Andika sentensi ifuatayo katika umoja;
Hao wenyewe hawakuzingatia mafunzo ya lishe bora.
Date posted: October 12, 2017. Answers (1)