Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Nini umuhimu wa ngano za mashujaa katika jamii?

      

Nini umuhimu wa ngano za mashujaa katika jamii?

  

Answers


KELVIN
a) Kuhimiza uzalendo na ujasiri miongoni mwa vijana.
b) Kuhimiza ujasiri miongoni mwa vijana.
c) Kusifu mashujaa katika jamii
d) Kuelimisha jamii kwa kuwapa maarifa ya kukabiliana na changamoto, inda na ila.
e) Kuhimiza uzalendo kwa kuhimiza watu kuiga mashujaa na kupigania jamii.
f) Kuonya dhidi ya matendo hasi k.v. ukatili.
g) Kuhimiza watu kutokata tamaa

kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 15:39


Next: Ngano za mashujaa zina umuhimu upi?
Previous: Eleza maana ya ngano za mashujaa.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions