Nini umuhimu wa ngano za mazimwi katika jamii.

      

Nini umuhimu wa ngano za mazimwi katika jamii.

  

Answers


KELVIN
a) Kukashifu tabia ya uovu, ulafi, na ukatili.
b) Kutahadharisha dhidi ya kuwa na ulafi, ukatili n.k.
c) Kutia moyo waliodhulumiwa kuwa waliowanyanyasa wataadhibiwa siku moja.

kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 15:42


Next: Eleza maana ya ngano za mashujaa.
Previous: Ngano za mazimwi hudhihirisha sifa zipi?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions