Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Ngano za mazimwi hudhihirisha sifa zipi?

      

Ngano za mazimwi hudhihirisha sifa zipi?

  

Answers


KELVIN
a) Wahusika ni mazimwi
b) Mazimwi huwakilisha sifa hasi za binadamu k.m ulafi, ukatili, uovu n.k.
c) Hujaa uharibifu.
d) Huwa na matumizi mengi ya fantasia.
e) Kipengele cha safari hujitokeza k.v. kwenda nchi za mbali kutafuta suluhisho.
f) Ushindi hujitokeza (mazimwi hushindwa).
g) Ni kazi ya kubuni.
h) Huwa na maadili.
i) Mazimwi huwa na sifa zinazokiuka mipaka ya binadamu k.m. kinywa kisogoni, jicho moja kubwa, n.k.

kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 15:44


Next: Nini umuhimu wa ngano za mazimwi katika jamii.
Previous: Taja sifa tano za ngano za usuli

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions