Taja sifa tano za ngano za usuli

      

Taja sifa tano za ngano za usuli

  

Answers


KELVIN
a) Wahusika ni wanyama na binadamu
b) Ni kazi ya kubuni.
c) Hueleza kuhusu asili ya sifa, tabia au hali.
d) Hutumia mbinu ya uhuishi.
e) Huwa na maadili

kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 15:45


Next: Ngano za mazimwi hudhihirisha sifa zipi?
Previous: Economic factors provided greatest impulse to Africa's colonization. Discuss

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions