Eleza umuhimu wa visasili katika jamii

      

Eleza umuhimu wa visasili katika jamii

  

Answers


KELVIN
a) Kueleza asili ya mambo kama vile kifo, utamaduni n.k.
b) Kueleza utaratibu wa kutekeleza desturi k.v. mahari.
c) Kuhalalisha baadhi ya mila na desturi za jamii k.v. ulipaji mahari, uabudu miti, n.k.
d) Kukitisha mizizi imani fulani ya watu.
e) Kupunguza athari za majanga kama vile kuhalalisha kifo.
f) Kutambulisha jamii kwani kila jamii ina aina yake ya visasili.
g) Kuhifadhi historia na utamaduni wa jamii

kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 16:15


Next: Eleza nini maana ya ngano za usuli
Previous: Taja sifa tano za visasili.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions