Taja sifa tano za visasili.

      

Taja sifa tano za visasili.

  

Answers


KELVIN
a) Husimulia mambo ya kiimani na kidini.
b) Huwa na misingi ya kihistoria.
c) Hueleza asili ya matukio katika jamii.
d) Wahusika ni wanyama na binadamu.
e) Huwa na maadili.

kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 16:16


Next: Eleza umuhimu wa visasili katika jamii
Previous: Taja sifa zinazofanya utanzu uwe wa fasihi simulizi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions