Taja sifa zinazozofananisha fasihi andishi na fasihi simulizi.

      

Taja sifa zinazozofananisha fasihi andishi na fasihi simulizi.

  

Answers


KELVIN
a)Zote mbili hushughulikia masuala yanayohusu maisha maisha ya binadamu.
b)Zote mbili Huhumia lugha kwa ubunifu kuwasilisha maudhui.
c)Zote mbili huwa na vipengele viwili vikuu, maudhui na fani (jumla ya mbinu msanii alizotumia kuwasilisha maudhui).
d)Zote mbili majukumu sawa k.v. kuburudisha, kuadilisha, kuhifadhi na kuendeleza utamaduni, n.k.
e)Zote mbili zina utendaji-pale tamthilia na riwaya zinapoigizwa.
f)Zote mbili huzaliwa, hukua na hufa kutegemea mabadiliko ya wakati.

kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 16:26


Next: Taja sifa zinazofanya utanzu uwe wa fasihi simulizi
Previous: Eleza tofauti kati ya hadhira ya fasihi andishi na fasihi simulizi.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions