Taja sababu nne za kutotumia kuchunza kama njia ya kukusanya fasihi simulizi.

      

Taja sababu nne za kutotumia kuchunza kama njia ya kukusanya fasihi simulizi.

  

Answers


KELVIN
a)Shida ya mawasiliano.
b)Ugeni wa mtafiti kusababisha washiriki kumshuku na kusitisha uwasilishaji
c)Ghali kwa kumbidi mtafiti kusafiri
d)Huhitaji muda mrefu

kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 16:35


Next: Taja na ueleze aina za wahusika katika Fasihi Simulizi.
Previous: Taja njia tano za kukusanya fasihi simulizi.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions