Taja njia tano za kukusanya fasihi simulizi.

      

Taja njia tano za kukusanya fasihi simulizi.

  

Answers


KELVIN
a)Kushiriki katika kazi ya fasihi simulizi k.v. ngoma, soga, n.k.
b)Kutumia hojaji
c)Kupiga picha kwa kamera
d)Kurekodi kwa filamu na video
e)Kurekodi katika kanda za sauti/tepurekoda


kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 16:37


Next: Taja sababu nne za kutotumia kuchunza kama njia ya kukusanya fasihi simulizi.
Previous: Taja mbinu za Kuhifadhi Fasihi Simulizi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions