Taja mbinu za Kuhifadhi Fasihi Simulizi

      

Taja mbinu za Kuhifadhi Fasihi Simulizi

  

Answers


KELVIN
a)Huhifadhiwa na binadamu akilini k.m. ngano hupokewa kutoka kizazi kimoja hadi kingine.
b)Katika maumbile au mazingira k.m. fisi daima huchechemea , kinyonga naye hutembea pole pole.
c)Katika vifaa meme k.m. nyimbo, hadithi, maigizo n.k. huweza kuhifadhiwa katika kanda za sauti, video, sidi na diski za kompyuta.
d)Katika michoro k.m. picha huhifadhi matukio maalum k.v. za kabila fulani likiwinda au likisherehekea.

kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 16:38


Next: Taja njia tano za kukusanya fasihi simulizi.
Previous: Taja umuhimu wa kuhifadhi Fasihi Simulizi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions