Taja umuhimu wa kuhifadhi Fasihi Simulizi

      

Taja umuhimu wa kuhifadhi Fasihi Simulizi

  

Answers


KELVIN
a)Ili isipotee k.m. kwa kusahaulika.
b)Kuirekodi ili kuiendeleza kwa kuirithisha kwa vizazi vijavyo.
c)Ili kulinganisha fasihi simulizi za jamii mbalimbali na kuonyesha tofauti zake.
d)Ili kuhakikisha mtiririko katika uwasilishaji.
e)Kutunza historia ya jamii ili vizazi vijavyo viijue.
f)Ili kuziba mapengo ya utafiti yaliyomo kwa vile kuna tungo ambazo hazijatafitiwa kwa kina.

kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 16:39


Next: Taja mbinu za Kuhifadhi Fasihi Simulizi
Previous: Ni matatizo yapi yanayomkabili mkusanyaji wa Fasihi Simulizi.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions