Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Taja njia zinazotumiwa na jamii ya sasa kuhifadhi Fasihi Simulizi

      

Taja njia zinazotumiwa na jamii ya sasa kuhifadhi Fasihi Simulizi

  

Answers


KELVIN
a)Tamasha za muziziki kunakokaririwa na kuimbwa mashairi.
b)Sherehe za arusi, jando, mazishi mawaida.
c)Utegaji na uteguaji wa vitendawili kupitia redio na runinga.
d)Sarakasi za wasanii huhifadhi kipera cha vichekesho.
e)Ngoma za kienyeji kama isukuti katika hafla za kisiasa na harusi.
f)Utambaji wa hadithi hasa katika sehemu za mashambani

kalvinspartan answered the question on October 20, 2017 at 16:42


Next: Ni matatizo yapi yanayomkabili mkusanyaji wa Fasihi Simulizi.
Previous: Taja sifa zozote tano za hadithi kama utanzu wa fasihi simulizi.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions