Tambua sifa zozote tano za hadithi kama utanzu wa fasihi simulizi.

      

Tambua sifa zozote tano za hadithi kama utanzu wa fasihi simulizi.

  

Answers


KELVIN
a)Hutumia ya lugha ya mtiririko au nathari-kueleza matukio moja kwa moja.
b)Hurithishwa jamii kutoka kizazi kimoja hadi kingine.
c)Huwasilishwa mbele ya hadhira
d)Hutambwa mahali maalum k.v. ndani ya nyumba, chini ya mti, uwanjani, n.k.
e)Huweza kutokana na matukio halisi (kihistoria) au ya kubuni.
f)Huwa na mafunzo fulani kwa jamii/hadhira.
g)Hutumia wahusika wa aina tofauti k.v. nyumbani, wanyama, ndege, mazimwi, n.k.
h)Hutumia aina nyingine za sanaa k.v nyimbo, methali, ushairi, n.k.

kalvinspartan answered the question on October 21, 2017 at 09:57


Next: Taja njia zinazotumiwa na jamii ya sasa kuhifadhi Fasihi Simulizi.
Previous: Taja sababu tatu za ngano kutambwa usiku.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions